Production Lead – Arusha Job Opportunity at Somo

 

Production Lead – Arusha Job Opportunity at Somo
Production Lead – Arusha Job Opportunity at Somo

Production Lead – Arusha Job Opportunity at Somo

Production Lead – Arusha

We are looking for a Production Lead who will be responsible for managing and implementing the Tengeneza na Somo initiative in Arusha, ensuring that food processors and small agro-processing businesses have access to essential services. This includes pay-per-use production space, access to raw materials, technical support, and market-access support.

Key Responsibilities

·         Oversee the daily operations of Tengeneza na Somo in Arusha, ensuring efficient service delivery to processors.

·         Manage the pay-per-use production space, ensuring it is accessible, well-maintained, and equipped to meet the needs of processors.

·         Work closely with processors to facilitate access to raw materials, packaging materials, and technical support.

·         Link entrepreneurs to distribution channels, retailers, and potential buyers.

·         Build and maintain relationships with farmers, suppliers, government agencies, food-industry experts, and financial institutions.

·         Coordinate the procurement and distribution of packaging materials to ensure processors have sustainable packaging solutions.

·         Ensure revenue targets are met.

Requirements

·         At least 4 years’ experience managing food-processing projects, business development, or supply-chain logistics.

·         Knowledge of food processing, quality assurance, regulatory compliance, and market linkages.

·         Experience in sales and marketing is an added advantage.

·         Experience managing shared production spaces or business-incubation programs is an added advantage.

·         Strong networking and partnership-development skills to engage key stakeholders.

·         Excellent communication skills in English and Swahili.

Location: Arusha, Tanzania

Interested candidates should email their CV and cover letter to hr@somoafrica.org.


Fursa Ya Kazi!

Kiongozi wa Uzalishaji – Arusha

Tunatafuta Kiongozi wa Uzalishaji atakayesimamia na kutekeleza mpango wa Tengeneza na Somo jijini Arusha (SIDO), kuhakikisha kuwa wasindikaji wa chakula na biashara ndogo za usindikaji wa kilimo wanapata huduma muhimu. Hii inajumuisha nafasi ya uzalishaji kwa malipo kadri ya matumizi, upatikanaji wa malighafi, usaidizi wa kiufundi na usaidizi wa kufikia masoko.

Majukumu Makuu

·         Kusimamia shughuli za kila siku za Tengeneza na Somo jijini Arusha, kuhakikisha utoaji huduma kwa ufanisi kwa wasindikaji.

·         Kusimamia eneo la uzalishaji la “pay-per-use”, kuhakikisha linapatikana, linatunzwa vyema na lina vifaa vinavyokidhi mahitaji ya wasindikaji.

·         Kufanya kazi kwa karibu na wasindikaji kuwezesha upatikanaji wa malighafi, vifaa vya ufungaji na usaidizi wa kiufundi.

·         Kuunganisha wajasiriamali na njia za usambazaji, wauzaji rejareja na wanunuzi watarajiwa.

·         Kujenga na kudumisha mahusiano na wakulima, wasambazaji, taasisi za serikali, wataalamu wa sekta ya chakula na taasisi za kifedha.

·         Kuratibu ununuzi na usambazaji wa vifaa vya ufungaji ili kuhakikisha wasindikaji wanapata suluhu endelevu za ufungaji.

·         Kuhakikisha malengo ya mapato yanatimia.

Sifa Muhimu

·         Uzoefu wa angalau miaka 4 katika kusimamia miradi ya usindikaji wa chakula, ukuzaji biashara au ugavi.

·         Uelewa wa usindikaji wa chakula, uthibiti ubora, uzingatiaji wa kanuni na uundaji wa miunganisho ya masoko.

·         Uzoefu katika mauzo na masoko utahesabiwa kuwa nyongeza.

·         Uzoefu katika kusimamia maeneo ya uzalishaji ya pamoja au programu za kuendeleza biashara ni nyongeza.

·         Ujuzi mkubwa wa kuanzisha na kuendeleza mitandao na ushirikiano na wadau wakuu.

·         Uwezo bora wa mawasiliano kwa Kiingereza na Kiswahili.

Mahali: Arusha, Tanzania

Tuma CV na barua ya maombi kupitia barua pepe hr@somoafrica.org.

Soma pia:  JIPATIE VIWANJA NA MASHAMBA NA (MISS LIDYA MPINGA)

Pitia pia: Intercessors Divine Cleaning Services: Suluhisho Lako la Usafi

See also:  Think you can’t transform your body in six months? Think again !

For More up to date Opportunities Updates :

 Click / Tap Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad