JIPATIE VIWANJA NA MASHAMBA NA (MISS LIDYA MPINGA)
TUNAUZA VIWANJA NA MASHAMBA YALIYO PIMWA KWA CASH NA MKOPO
▫️TUNAUZA VIWANJA VYA MAKAZI NA BIASHARA
▫️”YOUR FUTURE, ON SOLID GROUND “
Kwa sasa kuna projects tatu Kubwa :
1. Mashamba Kiwangwa
2. Viwanja Makurunge
3. Viwanja kaole
Miradi yote ipo bagamoyo
------------------------------------
1. MILIKI SHAMBA LAKO SASA!
MASHAMBA YA KISASA – BAGAMOYO, KIWANGWA
![]() |
MASHAMBA YA KISASA – BAGAMOYO, KIWANGWA |
✅ Ekari Moja kwa Bei Nafuu: TZS 1,500,000
✅Lipia Kidogo Kidogo: TZS 100,000 tu kwa mwezi kwa miezi 15
✅ Ukubwa wa Shamba: 70m x 70m (Ekari 1 kamili)
Sifa Muhimu za Mashamba Haya:
✅ Yamepimwa kisheria – tayari yana Hati Miliki
✅ Umbali wa 6km tu kutoka barabara kuu – barabara inapitika muda wote
✅ Mashamba yameanzia moja kwa moja kwenye barabara ya TARURA
✅ Udongo wenye rutuba – mazao yanastawi kwa kiwango cha juu sana
✅ Mazuri kwa kilimo cha kibiashara: nanasi, mihogo, alizeti, mahindi, vitunguu n.k.
✅ Mazuri pia kwa ufugaji: kuku, ng’ombe, mbuzi, kondoo n.k.
✅ Tambalale – yanafaa pia kwa uwekezaji wa viwanja kwa ajili ya makazi ya baadaye
✅ Karibu na huduma muhimu: shule, hospitali, umeme
✅ Barabara nzuri, miundombinu wezeshi ipo tayari
Mpango wa Malipo Rahisi Kabisa:
• Chukua ekari 1 – anza na TZS 100,000
• Chukua ekari 2 – anza na TZS 200,000
• Chukua ekari 3 – anza na TZS 300,000
Ziara za Mradi:
Safari za kwenda kuona mashamba zinaratibiwa mara kwa mara. Jiunge nasi utembelee eneo la uwekezaji!
Safari zitaanza: MWENGE - SHELI YA PUMA
Siku: kila jumamosi.
Nauli ya kuchangia: TSh 10,000 tu
Weka nafasi yako mapema!
Fika ofisini, twende pamoja tukatembelee site uchague ekari yako ya shamba.
☎️ 0759663678 Wasiliana nasi sasa ili kuthibitisha booking yako!
🌱 USIKOSE NAFASI HII YA KIPEKEE!
Fursa hii ni adimu – miliki ardhi yako leo kwa gharama nafuu na malipo mepesi.
Karibu Bagamoyo Kiwangwa – Mali Utaipata Shambani!
Follow Instagram Page Yetu kwa Updates Zaidi: - https://www.instagram.com/verifiedland_and_realestate
---------------
2. Je Unatafuta sehemu tulivu ya kuishi au kuwekeza Bagamoyo? Kaole ndiyo mahali sahihi kwako!
Tunatoa viwanja vikubwa na vyenye mandhari ya kuvutia, vilivyopo karibu na bahari.
![]() |
Unatafuta sehemu tulivu ya kuishi au kuwekeza Bagamoyo? Kaole ndiyo mahali sahihi kwako! |
Eneo linafaa kwa:
• Makazi ya kuishi ( Residential)
• Biashara (Biashara ya hoteli na malazi, biashara ya migahawa na vyakula vya Baharini, biashara ya Utalii na burudani; mfano safari za boti, biashara za mazao ya baharini kama uvuvi na uuzaji wa samaki au dagaa)
Vipimo vya viwanja:
• Kuanzia sqm 1,000
Bei:
• Tsh 25,000/= kwa sqm
Malipo:
• Malipo ni CASH au Kwa INSTALLMENTS
• Ukilipa CASH unapata punguzo la 10%
• Au unaweza kulipa kwa INSTALLMENTS hadi miezi 20
• Mfano:
• Kiwanja cha sqm 1,700 ni Tsh 42,500,000/=
• Malipo ya kila mwezi ni Tsh 2,125,000/=
Faida nyingine:
• Viwanja vina HATI MILIKI
• Viko mita chache kutoka baharini
• Watu wa mikoani tunawahudumia kwa uaminifu mkubwa sana hadi pale watakapo kuja physically kwa ajili ya kusaini mikataba
• Nauli ya kwenda site kuona ni Tsh 10,000 tu
Wahi sasa! Wasiliana nasi kupitia:
Simu: 0759663678
Tutakutumia ramani na kukusaidia kuchagua kiwanja bora zaidi.
Follow Instagram Page Yetu kwa Updates Zaidi: - https://www.instagram.com/verifiedland_and_realestate
----------------
3. MRADI WA VIWANJA VYA MAKAZI - MAKURUNGE, BAGAMOYO.
Tunakuletea fursa adimu ya kumiliki kiwanja chenye hati miliki katika eneo lenye mandhari ya kuvutia na miundombinu bora kabisa!
![]() |
MRADI WA VIWANJA VYA MAKAZI - MAKURUNGE, BAGAMOYO. |
HUDUMA BORA ZIMEFIKA HADI SITE:
• Barabara zinazopitika muda wote
• Huduma zote muhimu za kijamii kama maji na umeme
• Umbali wa KM 2.5 tu kutoka barabara kuu
GHARAMA NAFUU KABISA:
• Bei ni Tsh 7,000 kwa SQM
• Kiwanja cha SQM 500 ni Tsh 3,500,000
• Lipa kidogo kidogo: Tsh 175,000 kwa mwezi kwa miezi 20
HATI MILIKI TAYARI - MILIKI KWA AMANI
Ziara ya kutembelea viwanja itafanyika Jumamosi hii - usikose nafasi ya kuona kwa macho yako!
Wasiliana nasi leo upate nafasi yako
Wahi sasa! Wasiliana nasi kupitia:
Simu: 0759663678
Tutakutumia ramani na kukusaidia kuchagua kiwanja bora zaidi.
📍Office zetu zipo MBEZI BEACH karibu na MASSANA HOSPITAL
Follow Instagram Page Yetu kwa Updates Zaidi: - https://www.instagram.com/verifiedland_and_realestate
-----------
See also: Think you can’t transform your body in six months? Think again !
For regular up to date Opportunities Updates :
Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp