![]() |
Nafasi za Kazi Kigamboni , Dar es Salaam ( Kwa Wadada ) |
Nafasi za Kazi Kigamboni, Dar es Salaam ( Kwa Wadada )
Nafasi za Kazi Kigamboni!
Tunatafuta wafanyakazi wachapakazi na waaminifu wa kujiunga na timu yetu hapa Kigamboni. Kama unatafuta fursa ya ajira na unakidhi vigezo vifuatavyo, tafadhali wasiliana nasi!
1. Mdada wa Kazi za Ndani (Wa Kwenda na Kurudi)
Tunatafuta mdada mzoefu wa kazi za ndani, anayeishi Kigamboni, kwa ajili ya kazi za kwenda na kurudi.
Sifa Muhimu:
Awe na uzoefu wa kutosha katika kazi za nyumbani.
Awe anaishi Kigamboni.
Mshahara: Tsh 100,000/=
2. Mdada wa Kaunta (Pub)
Tunatafuta mdada wa kaunta kwa ajili ya pub yetu iliyopo Kigamboni, Kwa Stivini.
Sifa Muhimu:
Awe na uzoefu katika huduma ya kaunta AU awe na uelewa mzuri wa mahesabu.
Awe anaishi Kigamboni.
Mshahara: Tsh 100,000/=
Jinsi ya Kuwasiliana Nasi:
Kwa wale wote wenye sifa zinazohitajika na wangependa nafasi hizi, tafadhali wasiliana na namba ifuatayo:
Simu: 0673 601 605
Tunatarajia kusikia kutoka kwako!
Soma pia: JIPATIE VIWANJA NA MASHAMBA NA (MISS LIDYA MPINGA)
Pitia pia: Intercessors Divine Cleaning Services: Suluhisho Lako la Usafi
See also: Think you can’t transform your body in six months? Think again !
For More up to date Opportunities Updates :
Click / Tap Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp