Nafasi za Kazi - Dereva Daraja la II – 15 Post - Halmashauri ya Jiji la Arusha

POST DETAILS
POSTDEREVA DARAJA LA II - 15 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Jiji la Arusha
APPLICATION TIMELINE: 2025-06-18 2025-06-25
JOB SUMMARYNIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  2. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  6. Kufanya usafi wa gari
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja C au E ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au NIT au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 

REMUNERATION TGS B/1

  Kwanza - Soma Maelezo Kamili Hapa (PDF)

  Kisha ,   BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI - AJIRA PORTAL

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad