TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI, ROSE NUTRITION LIFE : AFISA MAUZO NA MASOKO

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI: AFISA MAUZO NA MASOKO
 

Je umekuwa ukitafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio?

Je, unatafuta fursa ya kipekee ya kujenga kipaji chako katika mauzo na masoko? Rose Nutrition Life, kwa udhamini wa Eternal International ya China, inakupa nafasi ya kujiunga na timu yetu kama Afisa Mauzo na Masoko.


Sifa za Mwombaji

  • Umri: Miaka 21 hadi 40.

  • Elimu: Kuanzia Darasa la Saba na kuendelea.

  • Afya: Uwe na afya njema kimwili na kiakili.

  • Sifa Binafsi: Uwe mwaminifu, mwenye nidhamu, na usiyekuwa na rekodi ya makosa ya jinai.

  • Uzoefu: Uzoefu katika huduma kwa wateja (customer care) ni sifa muhimu.


Mshahara na Mahali pa Kazi

  • Mshahara: Tsh 20,000/= kwa siku.

  • Mahali: Buguruni Sheli.


Jinsi ya Kuomba

Fika moja kwa moja kwenye ofisi ya Rose Nutrition Life iliyopo Buguruni Sheli kwa maelezo zaidi na kuwasilisha maombi yako.

Mawasiliano:

Kwa maelezo zaidi ukiwa Buguruni Sheli, piga simu namba:

  • 0742030390

  • 0610420960

     

Get to Know Symmetric Auditing and Management Consultants: Your Partner for Business Success

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad