![]() |
| NAFASI YA KAZI: MDADA MWENYE UZOEFU WA MAOMBI YA KAZI / ZABUNU (NEST) |
NAFASI YA KAZI: MDADA MWENYE UZOEFU WA MAOMBI YA KAZI / ZABUNI (NEST)
Tunatafuta Mtaalamu
Kampuni yetu inatafuta mdada mtaalamu, mwenye uzoefu wa kutosha katika mfumo wa NEST, kusaidia katika mchakato wa kutuma maombi ya kazi / Zabuni.
Majukumu Yako Muhimu:
Kutuma maombi ya kazi / zabuni kupitia mfumo wa NEST.
Kujaza kwa usahihi taarifa zote zinazohitajika.
Kuandaa na kutunza rekodi kamili na sahihi za maombi yote yaliyotumwa.
Sifa Muhimu:
Uwe na uzoefu wa kutosha na mfumo wa NEST.
Uwe makini na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea.
Uwe na ujuzi wa kutunza kumbukumbu.
Jinsi ya Kuomba Kazi:
Tuma CV yako pamoja na barua ya maombi kupitia barua pepe kwa:information.consultancy.co@gmail.com
.png)