Nafasi 115 za Kazi Evatho Matrix Security Limited - Ajira Mbalimbali
Nafasi 115 za Kazi Evatho Matrix Security Limited - Ajira Mbalimbali
TANGAZO LA KAZI
Evatho Matrix tunapenda kutangaza nafasi za kazi zifuatazo:-
- SECURITY SUPERVISOR- 15 Nafasi
- SECURITY OFFICERS- 76 Nafasi
- SECURITY CONTROLLER - 6 Nafasi
- ZONAL OFFICER - 15 Nafasi
- ZONAL MANAGER -3 Nafasi
SIFA ZA MUOMBAJI
Awe na umri kuanzia miaka 18- 40.
Kwa Controller awe na elimu kuanzia Form Six au Chuo.
Kwa Zonal Officer awe na elimu kuanzia Diploma level.
Kwa Zonal Manager awe na elimu ya Bachelor level na kuendelea.
Kwa Askari au Supervisor awe na Mafunzo ya JKT, Mgambo n.k.
Usiwe na Makosa ya Jinai.
Uwe Tayari kufanya kazi Mkoa wa Dar es Salaam au Nje ya Mkoa
"Maombi yote kwa Anuani hapo chini au peleka Maombi yako•
Moja kwa Moja Ofisini (Sinza Makaburini)"
Email: hr@evathomatrixsecuritty.com
WhatsApp: +255 685 481 916
Note: Tuma Cheti Cha Mafunzo, CV na Picha ya hivi karibuni ukiwa umesimama
![]() |
Nafasi 115 za Kazi Evatho Matrix Security Limited - Ajira Mbalimbali |
Go to our Jobs page for more Similar Relevant Information.
See also: How to Send Your CV to an Employer the Right Way
See also: Ufugaji wa Kuku: Njia Bora na Yenye Faida Kubwa ya Kujiajiri
For More up to date Opportunities Updates :
Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp