![]() |
Semi -trailer driver anatafutwa |
💥Semi -trailer driver anatafutwa💥
Kampuni inatafuta Dereva wa Treila mwenye uzoefu na sifa zifuatazo:
SIFA MUHIMU:
• Awe na uzoefu wa kuendesha treila na kusafiri nje ya nchi, hususan Kenya, Zambia, Congo na maeneo mengine ya jirani.
• Awe na hati halali ya kusafiria (passport) au hati ya mpakani.
• Awe mwadilifu, mwenye uwajibikaji na kufuata ratiba za kazi.
• Uzoefu wa kuendesha safari ndefu na kuvuka mipaka ni kigezo muhimu.
Jinsi ya Kuomba:
Tuma CV yako kupitia barua pepe:
📧 jovetha@sunda.com
Go to our Jobs page for more Similar Relevant Information.
Soma Pia: Jinsi ya Kujiajiri Tanzania Kupitia Huduma za Usafishaji: Ofisi, Nyumba, Magari