SEMINA MAALUMU KWA WANAVYUO WATARAJIWA 2025

SEMINA MAALUMU KWA WANAVYUO WATARAJIWA 2025
 SEMINA MAALUMU KWA WANAVYUO WATARAJIWA 2025



� “Kujitambua. Kuweka Mwelekeo. Kuanza Chuo kwa Ujasiri.”

Je, wewe ni kijana unayejiandaa kuanza chuo mwaka huu?
Unahisi presha ya mabadiliko? Au hutaki kupoteza mwelekeo ukiwa chuoni?

Karibu kwenye YLPT Dodoma Special Seminar!
Tutakusaidia kujiandaa kisaikolojia, kijamii, na kiroho kabla ya safari ya chuo.

� TAREHE: Jumamosi, 2 Agosti 2025
� MUDA: Kuanzia saa 3:00 asubuhi
� MAHALI: Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma

� JISAJILI BURE SASA KUPITIA: bit.ly/ylptdodoma

� Waalike marafiki zako – nafasi ni chache!
� WhatsApp, Facebook, Instagram & X: @youthlibertypt
� Simu: 0768 719 243

� “Kabla hujaingia darasani, jiandae moyoni.”
�Comment "NAKUJA" au tag rafiki yako asiikose hii nafasi ya kipekee.
#YLPTDodoma #Wanavyuo2025 #YouthTransformation #YLPTNiMimi

Soma Pia:  Jinsi ya Kujiajiri Kupitia Ushauri na Mafunzo: Anzisha Biashara Yako Kutoka Ujuzi Ulio Nao!

Bobland Techniques: Accelerate your Online Presence

See also:  Think you can’t transform your body in six months? Think again !

For More up to date Opportunities Updates :

 Click / Tap Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp

 

  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad