![]() |
Nafasi ya Kazi , Fundi Magari - KEDA (Twyford) |
TANGAZO LA AJIRA
Kampuni: KEDA (Twyford)
Nafasi: Fundi Magari.
Mahali: Chalinze
Mwisho wa Maombi: 1/08/2025
Sifa za Mwombaji:
1. Ujuzi wa Ufundi:
- Kutengeneza
- Forklift
- Tipper (Magari ya Kupakua Mizigo)
- Excavator
- Magari mengine ya viwanda
- Kuchunguza na kurekebisha matatizo ya mitambo.
2. Ujuzi wa Udereva:
- Kuendesha:
- Forklift
- Tipper
- Excavator
(Thibitisho/leseni za udereva ni lazima).
3. Uzoefu:
- Angalau miaka 3-5 katika ufundi wa magari na uendeshaji wa mashine nzito.
4. Sifa Nyingine:
- Uaminifu, makini kwa usalama, uwezo wa kutatua matatizo.
Jinsi ya Kuomba:
Tuma Nakala za Vyeti na leseni (Ufundi, leseni za udereva)
Kwa anuani: joshua_mshana@twyfordtile.com
Go to our Jobs page for more Similar Relevant Information.
See also: How to Send Your CV to an Employer the Right Way
Check out : How to Use the Government’s Official Ajira Portal
See also: Ufugaji wa Kuku: Njia Bora na Yenye Faida Kubwa ya Kujiajiri
Soma pia: Kujiajiri Tanzania: Fungua Fursa Kupitia Ufundi wa Magari, Simu, Kompyuta, Umeme na Mabomba!
For More up to date Opportunities Updates :
Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp