Nafasi 115 za Kazi Evatho Matrix Security Limited - Ajira Mbalimbali

TANGAZO LA KAZI

Evatho Matrix tunapenda  kutangaza nafasi za kazi zifuatazo:-

  • SECURITY SUPERVISOR- 15 Nafasi
  • SECURITY OFFICERS- 76 Nafasi
  • SECURITY CONTROLLER - 6 Nafasi
  • ZONAL OFFICER  - 15 Nafasi
  • ZONAL MANAGER  -3 Nafasi

SIFA ZA MUOMBAJI
Awe na umri kuanzia miaka 18- 40.

Kwa Controller awe na elimu kuanzia Form Six  au Chuo.

Kwa Zonal  Officer awe na elimu  kuanzia Diploma  level.

Kwa Zonal  Manager awe na elimu ya Bachelor level na kuendelea.

Kwa Askari au Supervisor awe na Mafunzo  ya JKT, Mgambo n.k.

Usiwe na Makosa ya Jinai.

Uwe Tayari kufanya kazi Mkoa wa Dar es Salaam au Nje ya Mkoa
"Maombi yote kwa Anuani hapo chini au peleka Maombi yako•
Moja kwa Moja Ofisini (Sinza Makaburini)"

Email: hr@evathomatrixsecuritty.com

WhatsApp: +255 685 481  916

Note: Tuma Cheti Cha Mafunzo, CV na Picha ya hivi karibuni ukiwa  umesimama

Nafasi 115 za Kazi Evatho Matrix Security Limited - Ajira Mbalimbali
Nafasi 115 za Kazi Evatho Matrix Security Limited - Ajira Mbalimbali

Go to our Jobs page for more Similar Relevant Information. 

See also: How to Send Your CV to an Employer the Right Way

See also:   Ufugaji wa Kuku: Njia Bora na Yenye Faida Kubwa ya Kujiajiri

For More up to date Opportunities Updates :

 Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad