![]() |
Nafasi za Kazi , TOSH SECURITY Co. Ltd - Ulinzi ( elimu ya darasa la saba, kidato cha nne au zaidi) |
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
TOSH SECURITY Co. Ltd
P.O. Box 1319, Uhuru na Msimbazi, Dar es Salaam.
TOSH SECURITY Co. Ltd inatangaza nafasi za kazi ya ULINZI kwa vijana wote wa kiume na wa kike waliotayari kujituma, kuwa waaminifu na wenye nidhamu.
SIFA ZA MWOMBAJI:
1. Awe Mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea.
2. Awe na elimu ya darasa la saba, kidato cha nne au zaidi.
3. Awe na nakala ya kitambulisho kinachotambulika na serikali:
» NIDA
» Kitambulisho cha Kupigia Kura
» Leseni ya Udereva
» Passport( hati ya Kusafiria)
» Au kingine chochote halali
4. Awe na wadhamini wawili (2) waliothibitishwa, kila mdhamini atoe:
» Barua ya mkono (handwritten letter)
» Barua ya kudhamini kutoka serikali ya mtaa
» Picha moja (1) ya passport size kwa kila mdhamini
» Copy ya Kitambulisho Cha NIDA, Passport(hati ya Kusafiria) au kitambulisho chochote
kinachotambulika na serikall
5. Awe amehitimu mafunzo ya JKT, au awe na cheti cha mgambo au polis jamii.
Tuma CV na nyaraka zote kupitia: Email: abbakarmfaume@gmail.con
whatsApp (Only): 0692 093 082
Maombi yanapokelewa kila siku. Fika ofisini au tumia njia za mawasiliano hapo juu.
TOSH SECURITY
ULINZI WA KUAMINIKA
Uhuru na Msimbazi, Dar es Salaam
P.0. Box 1319
Go to our Jobs page for more Similar Relevant Information.
See also: How to Send Your CV to an Employer the Right Way
See also: Ufugaji wa Kuku: Njia Bora na Yenye Faida Kubwa ya Kujiajiri
For More up to date Opportunities Updates :
Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp