Nafasi za Kazi , Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Dereva Daraja II - 9 Posts

 

 
Nafasi ya Kazi , Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Dereva Daraja II
 Nafasi Za Kazi , Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Dereva Daraja II
 
 
 Nafasi Za Kazi , Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara - Dereva Daraja II - 9 Posts
 
POST DETAILS
POST    DEREVA DARAJA II - 9 POST
EMPLOYER    Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara
APPLICATION TIMELINE:     2025-06-27 2025-07-10

JOB SUMMARY   
NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES    

    Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
    Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
    Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
    Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
    Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
    Kufanya usafi wa gari; na
    Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE    

Kuajiriwa mwenye Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au  C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja(1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria  mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo  Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. 

REMUNERATION    TGS B 1          

 
 
Soma pia PDF YAKE:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad