![]() |
NAFASI YA KAZI: BINTI WA DUKANI (BIDHAA ZA UREMBO) |
Tunatafuta binti mchapa kazi na mkweli, mwenye shauku ya kujifunza na kutoa huduma bora kwa wateja, ili ajiunge na timu yetu katika duka la bidhaa za urembo.
Sifa Muhimu:
- Umri: Miaka 18 - 26.
- Elimu: Amemaliza kidato cha nne (Form 4).
- Dini: Mkristo.
- Eneo: Awe mkazi wa Kilimahewa, Mwanza.
Kazi na Majukumu:
- Kupanga na kuuza bidhaa za urembo.
- Kuhudumia wateja kwa ufanisi na uaminifu.
- Kuhakikisha usafi na mpangilio wa duka.
Mshahara:
Mshahara utazungumzwa na kukubaliwa na mwajiri.
Jinsi ya Kuomba:
Kwa wale mnaokidhi vigezo tajwa, tafadhali wasiliana nasi kwa namba: 0787726300.
Fursa hii ni kwa wakazi wa Kilimahewa, Mwanza pekee.
Soma: Jinsi ya Kuanza Kujiajiri Tanzania
Soma pia: Jinsi ya Kujiajiri Tanzania Kupitia Huduma za Usafishaji: Ofisi, Nyumba, Magari
See: What a Recruiter is Suggesting Regarding your CV !
See also: CV Writing Services
See also: How to Write a Cover Letter That Actually Gets Read
Do you like posts such as New Job Opportunities at Oasis Group Tanzania?
For More up to date Opportunities Updates :
Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp