Nancy Green organic products
NAFASI ZA KAZI
- AFISA MAUZO WA ANA KWA ANA
SOMA MAELEZO KWENYE BANGO HAPO CHINI TAFADHALI :
JOB REQUIREMENTS
@ Kuuza bidhaa ana kwa ana na wateja wapya na wa zamani kwenye maonyesho au maeneo ya umma
@ uwatembelea wateja wapya na wa zamani kwa lengo la kuwaambia huduma zetu
Malipo kutokana na mauzo 8%
Pasho ya usafiri
UMRI:Miaka l8-30
@ Kufanikisha mauzo na kukusanya taarifa za wateja
@ Kuandaa na kuwasilisha ripoti za mauzo ya kila siku
@ uhamasisha matumizi ya bidhaa/huduma
Mawasiliano
0677227220
0655239920
kwa kutoa maelezo ya kina kwa wateja.
FOR MORE INFORMATION
0677227220
Kijichi ccm,Dar es Salaam
See: How to Send Your CV to an Employer the Right Way
See also: How to Prepare For a Panel Interview
For More up to date Opportunities Updates :
Click / Tap Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp